Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vilabu EPL vyaanza kuibomoa Mamelodi

Khuliso Mudau In Bafana Bafana Colours 1024x565 Mlinzi wa klabu ya Mamelodi Sundowns Khuliso Mudau

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa klabu ya Mamelodi Sundowns Khuliso Mudau (28) kwa kipindi cha hivi karibuni amekuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Burnley inayoshiriki Ligi kuu soka England baada ya kuwa kwenye kiwango bora akiwa na Mamelodi Sundowns na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.

Mlinzi wa klabu ya Mamelodi Sundowns Khuliso Mudau (28) kwa kipindi cha hivi karibuni amekuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Burnley inayoshiriki Ligi kuu soka England baada ya kuwa kwenye kiwango bora akiwa na Mamelodi Sundowns na timu ya Taifa ya Afrika Kusini. Mudau amesema kuwa na yeye amezisikia tetesi hizo na kama Burnley watawasilisha ofa rasmi basi ataenda kutumika kwenye kikosi hicho lakini kwasasa mawazo yake yapo kwenye kuisaidia timu yake ya Mamelodi Sundowns.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live