Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vikosi vyenye thamani kubwa zaidi AFCON 2023

Taifa Stars Msk Taifa Stars ni ya pili kutoka mwisho.

Fri, 12 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni kesho Jumamosi, Januari 13, 2024 ambapo fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) zitaanza kupigwa nchini Ivory Coast.

Tanzania ni miongoni mwa timu 24 zinazoshiriki michuano hiyo na hii hapa ni orodha ya thamani ya kila kikosi.

✵Nigeria €349M

★Morocco €347M

✵Ivory Coast €334M

★Senegal €274M

✵Ghana €196M

★Algeria €188M

✵Mali €137M

★Cameroon €135M

✵Egypt €110M

★DR Congo €99M

✵Burkina Faso €89M

★Guinea €63M

✵Tunisia €39M

★The Gambia €34M

✵Zambia €28M

★Angola €27M

✵Cape Verde €25M

★Guinea Bissau €25M

✵Mozambique €18M

★South Africa €18M

✵Mauritania €9M

★Equatorial Guinea €7M

✵Tanzania €7M

★Namibia €7M

(Source TransferMarket )

Chanzo: www.tanzaniaweb.live