Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vikao vya kumjadili De Bruyne Saudia vyaanza

Kevin De Bruyne Total Kiungo wa Man City, Kevin de Bruyne

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wasimamizi wa Kevin De Bruyne wapo Saudi Arabia kwenye mazungumzo na mabosi wa Al Hilal kusikiliza ofa ya matajiri hao ambao wanamtaka kiungo huyo.

Wasimamizi wa Kevin De Bruyne wapo Saudi Arabia kwenye mazungumzo na mabosi wa Al Hilal kusikiliza ofa ya matajiri hao ambao wanamtaka kiungo huyo. Hata hivyo uwezekano wa KDB kusalia Man City ni mkubwa kuliko kuondoka na kama ataondoka Man City basi huwenda akajiunga na vilabu vya MLS.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live