Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viingilio mechi ya Yanga vs Singida FC

Yangasc Mashabiki Sa Rais Filipe Nyusi.

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viingilio vya mchezo wa Yanga ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Fountain Gate utakaochezwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, vimetajwa.

Mchezo huo ambao unatarajiwa kuanza majira ya saa 12:15 jioni, viingilio vyake vimewekwa katika madaraja matano ili kutoa fursa kwa mashabiki wote kila mmoja kuja uwanjani kushuhudia burudani.

Viingilio hivyo ni; V.I.P A Tsh 20,000 V.I.P B Tsh 15,000 V.I.P C Tsh 10,000 Machungwa Tsh 7,000 Mzunguko Tsh 5,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live