Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viingilio Yanga vs Coastal Union

Yanga Unbeaten Viingilio Yanga vs Coastal Union

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kesho Jumanne ya December 20 2022, Young Africans itakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Coastal Union ya Tanga ukiwa ni mchezo wa raundi ya 17 wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023.

Kuelekea mchezo huo, Yanga tayari imetangaza viingilio vyake ambapo kwa VIP A itakuwa ni Tsh 15,000, VIP B na C itakuwa ni Tsh 10,000 na mzunguuko itakuwa ni Tsh 5,000 tu.

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa 12:15 jioni

Chanzo: www.tanzaniaweb.live