Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vigogo wavutana kumnasa Nicolo Zaniolo

Nicolo Zaniolo Mshambuliaji wa klabu ya AS Roma Nicolo Zaniolo

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu za Tottenham Hotspur, West Ham na Burussia Dortmund wote wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa klabu ya AS Roma Nicolo Zaniolo mwenzi Huu.

AS Roma watakuwa wazi kupokea ofa ya kati ya euro million 35 mpaka 40 na si vinginevyo.

Awali klabu ya Arsenal waliripotiwa kuvutiwa pia na mchezaji huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live