Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vigogo watuma maskauti EPL

Final Libertades.jpeg Vigogo watuma maskauti EPL

Wed, 8 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vilabu vya Arsenal, Fulham na Liverpool vilituma maskauti kwenye fainali ya Copa Libertadores kati ya Boca Juniors na Fluminense.

Katika mchezo huo Fluminese waliibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Kuna Wachezaji Wa Kuangaliwa kama

Valentin Barco - Boca Juniors

Andre - Fluminense

Ignacio Fernandez - Boca Juniors

Chanzo: www.tanzaniaweb.live