Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vigogo Ligi Kuu wapigana vikumbo kwa Sowah

Sowah.jpeg Vigogo Ligi Kuu wapigana vikumbo kwa Sowah

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna baadhi ya timu zimeulizia uwezekano wa kuipata saini ya mshambuliaji wa Medeama, Jonathan Sowah za Kaskazini zikituma ofa ya kumnunua na za Mashariki.

Kuna baadhi ya timu zimeulizia uwezekano wa kuipata saini ya mshambuliaji wa Medeama, Jonathan Sowah za Kaskazini zikituma ofa ya kumnunua na za Mashariki. Klabu za Pyramids, Singida FG na Yanga zimeulizia uwezekano wa kumpata Mshambuliaji huyo hatari wa klabu ya Medeama ambaye amekuwa na msimu bora sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live