Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vigogo Ligi Kuu presha tupu kombe la Azam

Yanga Full Pic Data Vigogo Ligi Kuu presha tupu kombe la Azam

Wed, 3 Mar 2021 Chanzo: mwanaspoti.co.tz

MICHEZO ya hatua ya 32 michuano ya Kombe la Shirikisho maarufu Azam Sports Federation (ASFC) ilimalizika juzi Jumapili kwa michezo mitano kupigwa na kukamilisha timu zitakazopambana hatua ya 16.

Bingwa mtetezi Simba baada ya kuichapa Afrika Lyon mabao 3-0 sasa itakuwa nyumbani kukipiga na Kagera Sugar iliyoisambaratisha 2-0 Eagle Stars, huku Yanga baada ya ushindi mwembamba wa bao 1-0 mbele ya Ken Gold FC itakuwa ugenini dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga.

Azam FC baada ya kuichapa bao 1-0 Mbuni FC ya Arusha inayoshiriki Ligi Daraja la Pili (SDL) itakuwa nyumbani kucheza na Polisi Tanzania katika hatua hiyo inayotarajiwa kuchezwa kuanzia Aprili 3 hadi 4.

FDL wamo

Chanzo: mwanaspoti.co.tz