Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vidole vya Ronaldo vyazua gumzo

Cx Ronaldo Vidole Vidole vya Ronaldo vyazua gumzo

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo ame-share picha ya miguu yake akiwa kando ya bwawa la kuogelea akitumia muda huo kujiandaa kimwili kabla ya kujiunga na wenzake kwenye timu ya taifa ya Ureno.

Picha ya mchezaji huyo wa Al Nassr imetafsiriwa kutuma ujumbe wa Uwakilishi halisi wa miaka 22 ya kazi ngumu, kujitolea, na upendo kwa mchezo mzuri wa Soka.

CR7 anaendelea kuonyesha uwezo mkubwa msimu huu, akiwa amefunga mabao 36 kwa Al-Nassr. Huku akitarajiwa kushuka dimbani Machi 21 dhidi ya Sweden kwenye mechi ya kirafiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live