Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Victor Osimhen huyoo Chelsea

Victor Osimhen Chelsea Deal Victor Osimhen huyoo Chelsea

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano binafsi na mshambuliaji wa klabu ya SSC Napoli raia wa Nigeria Victor Osimhem juu ya kujiunga na klabu hiyo msimu ujao

Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano binafsi na mshambuliaji wa klabu ya SSC Napoli raia wa Nigeria Victor Osimhem juu ya kujiunga na klabu hiyo msimu ujao Osimhem ameridhia na yupo tayari kujiunga na miamba hao wa Jiji la London. Kinachofuta ni makubaliano baina ya klabu Kwa klabu (Chelsea na Napoli).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live