Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Victor Osimhen amedoda sokoni

Victor Osimhen Hj Victor Osimhen amedoda sokoni

Thu, 4 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen (25), anatarajiwa kuwa sehemu ya maandalizi ya kikosi hicho kujiandaa na msimu mpya wa 2024/2025.

Mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen (25), anatarajiwa kuwa sehemu ya maandalizi ya kikosi hicho kujiandaa na msimu mpya wa 2024/2025. Klabu za Manchester United, Chelsea na Arsenal za Uingereza zilikuwa na nia ya kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Nigeria, lakini zimegonga mwamba. (Football Italia).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live