Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Victor Okoh Boniace, Mnigeria anaetikisa Ulaya kwa sasa

Victor Okoh Boniace.jpeg Victor Okoh Boniace

Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hakuna mchezaji aliyefunga mabao mengi ya Uefa Europa league msimu huu kumzidi Victor Boniface, mshambuliaji huyu wa klabu ya Union St. Gilloise, amefunga mabao sita (6) sawa na Marcus Rashford.

Victor Okoh Boniace katika Uefa Europa league msimu huu hadi

Mechi 9

Dakika 696

Mabao 6

Pasi ya bao 1

Wastani wa kufunga bao kwa kila dakika 116

Nafasi alizotengeneza 5

Mashuti yaliyolenga goli 12

Mshambuliaji huyu raia Nigeria mwenye miaka 22, pia ameshaifungia klabu yake ya Union St. Gilloise mabao 15 katika mashindano yote msimu huu hadi sasa.

Mechi 42

Ameanza mechi 38

Dakika alizocheza 3230

Mabao 15

Pasi za mabao 9

Super Eagle mwengine katika fomu nzuri ya kufunga mabao, katika ligi kuu Belgium ana mabao 7 na assists 6 . Umri wake ni miaka 22

Chanzo: www.tanzaniaweb.live