Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Verrati sasa kuibukia Qatar

Skysports Marco Verratti Verratti 4476760 Marco Verratti

Mon, 11 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Marco Verratti amefikia makubaliano na klabu ya Al Arabi kwa ajili ya kujiunga na miamba hiyo ya Qatar.

Kiungo wa Marco Verratti amefikia makubaliano na klabu ya Al Arabi kwa ajili ya kujiunga na miamba hiyo ya Qatar. Al Arabi tayari imefikia makubaliano na PSG kwa ajili ya kumnunua Verratti (30) raia wa Italia kwa dau la euro milioni 45.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live