Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Varane nje wiki sita

Varane Azima Tetesi Za Kuhamia Saudia Rafael Varane

Wed, 30 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Kati wa Manchester United Raphael Varane atakuwa Njee ya Uwanja kwa muda wa Wiki Sita baada ya kupata jeraha kwenye mchezo dhidi ya Nottingham Forest.

Hii inatoa wasiwasi kwa Mwalimu Ten Hag kwani tayari Kikosi hicho kina orodha ndefu ya majeruhi.

MAJERUHI WENGINE

Mason Mount

Luke Shaw

Rasmus Hojlund

Amad Diallo

Tyrell Malacia

Kobbie Mainoo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live