Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Varane hana furaha Man United

Varane Azima Tetesi Za Kuhamia Saudia Rafael Varane

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inasemekana beki wa kati wa United Raphaël Varane anakosa furaha ya kuishi katika kikosi hicho Cha mashetani wekundu.

Taarifa kutoka vyanzo mbali mbali zinadai kwamba mfaransa huyo anataka kuondoka klabu hapo na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyengine.

Man United wanataka mauzo kamili ya mchezaji huyo ili waweze kumuachia na matumaini yao ni kumuuza kati ya Euro €20M-€30M.

Bayern Munich ambayo inapigiwa chapuao kumsajili mchezaji huyo inaendelea kuvizia ada ipugue ili waweze kumnasa licha ya kua mpaka sasa hawajaongea chochote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live