Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Varane agoma kuondoka Man United

Raphael Varane Erik Ten Hag Manchester United Varane agoma kuondoka Man United

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Raphaël Varane amevurugwa kwa kupoteza nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza, lakini bado hajaonyesha kuwa anataka kuondoka.

Walio karibu na Raphael Varane wanasema anahitaji tu mfululizo wa mechi ili kupata fomu yake tena.

Ten Hag akijibu tetesi zinazodai wametofautiana na Varane; "Raphael Varane [tatizo]? Sijui unazungumzia nini. Unazungumzia tetesi?. Ni mchezaji muhimu sana, lakini kuna ushindani wa ndani."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live