Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Van Nistelrooy apewa miaka miwili Man United

Ruud Van X Hake Van Nistelrooy apewa miaka miwili Man United

Thu, 11 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United imethibitisha kuwa mshambuliaji wake wa zamani, Ruud van Nistelrooy (48) raia wa Uholanzi amejiunga na klabu hiyo kama kocha msaidizi sambamba na Rene Hake ambaye pia anatua kama kocha msaidizi.

Manchester United imethibitisha kuwa mshambuliaji wake wa zamani, Ruud van Nistelrooy (48) raia wa Uholanzi amejiunga na klabu hiyo kama kocha msaidizi sambamba na Rene Hake ambaye pia anatua kama kocha msaidizi. Wawili hao wanajiunga kwa mkataba wa miaka miwili kuchukua mikoba ya Mitchell van der Gaag na Benni McCarthy ambao wameondoka klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live