Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Van Dijk, Weghorst walia na uwanja

Van Dijk, Weghorst Van Dijk, Weghorst walia na uwanja

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa timu ya Taifa ya Uholanzi wamelalamikia hali ya uwanja kuwa sababu ya wao kupata shida na kucheza chini ya kiwango kwenye mchezo wao wa jana dhidi ya Greece! Mechi hiyo ilichezwa OPAP Arena, Filadelfia Greece

“Huu ni uwanja mbaya zaidi kuwahi kucheza soka," amesema Weghorst.

“Umeona uwanja? ni mbaya siamini kuwa hadi leo bado inaruhusiwa kutumia uwanja katika kiwango hiki," amesema Van Dijk.

Mechi iliisha kwa Uholanzi kushinda bao 1-0 , goli la Van Dijk huku Weghorst akikosa penati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live