Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Van Der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU

Van Der Sar ICU (15).jpeg Van Der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU

Sat, 8 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imeelezwa kuwabgolikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin Van Der Sar amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) baada ya kupata kuumia kichwani na damu kuvuja katika ubongo.

Mholanzi huyo amekutana na changamoto hiyo alipokuwa kwenye mapumziko huko Split nchini Croatia.

Baada ya kukutana na shida hiyo, Van Der Sar mwenye umri wa miaka 52 aliwahishwa hospitali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: