Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Van Der Sar aacha nuksi Man United

Edwin Van Der Sar Van Der Sar aacha nuksi Man United

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar ambaye kwa sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari akipatiwa matibabu baada ya kukumbwa na tatizo la damu kuvilia kwenye ubongo, ndio kipa wa mwisho kwenye historia ya Manchester United kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.

Kipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar ambaye kwa sasa yupo kwenye uangalizi wa madaktari akipatiwa matibabu baada ya kukumbwa na tatizo la damu kuvilia kwenye ubongo, ndio kipa wa mwisho kwenye historia ya Manchester United kucheza fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya. Mara ya mwisho kwa Man United kucheza Fainali ya UEFA ni msimu wa 2010/11 ambako walichapwa mabao 3-1 na Barcelona katika Uwanja wa Wembley.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live