Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Van De Beek mbioni kujiunga na Frankfurt

Van De Beek Mbioni Kujiunga Na Frankfurt Van De Beek mbioni kujiunga na Frankfurt

Mon, 18 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mchezaji Donny van de Beek anatarajiwa kukamilisha vipimo vya afya katika saa 24 zijazo kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Eintracht Frankfurt kwa mkataba wa mkopo utakaosainiwa wiki hii akitokea katika ‘klabu’ ya Manchester United.

Kiungo mchezaji Donny van de Beek anatarajiwa kukamilisha vipimo vya afya katika saa 24 zijazo kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Eintracht Frankfurt kwa mkataba wa mkopo utakaosainiwa wiki hii akitokea katika ‘klabu’ ya Manchester United. Kwenye mkataba huo mchezaji huyo atanunuliwa kwa ada ya pauni 11 milioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live