Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Valverde na mipango ya kumzuia Messi

Valverde On Messi Valverde na mipango ya kumzuia Messi

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mipango ya mchezaji wa timu ya Taifa ya Uruguay Fede Valverde juu ya namna ya kumzuia Messi kwenye mechi dhidi ya Argentina Alhamisi.

“Sijui ni namna gani ya kumkaba na kumzuia maana sijawahi kufanikiwa kumzuia tulipokuwa tukikutana kwenye El Clasico “

“Lakini nitaingia kwa heshima kwa sababu najua ni mchezaji bora Duniani “

Kufeli kupanga ni kupanga pia

Chanzo: www.tanzaniaweb.live