Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Valverde autaka Unahodha Real Madrid

Fede Valverde Ggg Federico Valverde

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Real Madrid Federico Valverde angetamani siku moja kuwa nahodha wa kukiongoza kikosi hicho kwenye kila mchezo.

"Ni ndoto yangu kuwa nahodha wa Real Madrid siku moja. Hiyo itakuwa hisia ya kushangaza kwangu, kama ilivyokuwa wakati nilivaa kitambaa cha unahodha wa timu ya Uruguay".

"Hapa huwa najaribu kujifunza kutoka kwa Modrić, Carvajal, Kroos. Hao ndio manahodha wetu, vioo vyetu katika klabu ya Madrid, Kuwa nahodha wa Real Madrid itakuwa ndoto kubwa kwangu".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live