Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Valverde: Mimi ni real Madrid tu

Fede Valverde Ggg Federico Valverde

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miezi mitatu iliyopita Fede Valverde alipokea ofa kutoka kwa vilabu viwili vikubwa nchini England lakini alikataa na jana amefunga goli lake la kwanza kwa msimu huu dhidi ya Real Sociedad.

Miezi mitatu iliyopita Fede Valverde alipokea ofa kutoka kwa vilabu viwili vikubwa nchini England lakini alikataa na jana amefunga goli lake la kwanza kwa msimu huu dhidi ya Real Sociedad. Baada ya mchezo huo Fede akasema anauwezo wa kucheza Real Madrid na ndicho anachotaka, siku hiyo hafikirii, atatafuta jawabu jingine ama Real yenyewe ndio itafanya hivyo, kwan anajisikia vizuri sana kucheza Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live