Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Valentin Castellanos anavyokimbiza Laliga

Valentin Castellanos (600 X 337) Valentin Castellanos

Fri, 5 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Valentin Castellanos sasa ameifungia Gerona mabao 7 katika mechi nne za mwisho La Liga.

Dhidi ya Elche - 1

Dhidi ya Real Madrid - 4

dhidi ya Sevilla - 1

dhidi ya Mallorca - 1

Ni wachezaji wanne tu wenye mabao mengi kumzidi yeye katika La Liga msimu huu.

Takwimu zake katika La Liga msimu huu hadi sasa.

Mechi 31

Dakika 2387

Mabao 13

Dakika kwa kila bao 184

Mabao kwa mguu wa kulia 7

Mabao kwa kichwa 5

Mabao kwa mguu wa kushoto 1

Castellanos (miaka 24) mshambuaji wa kati kutoka Argentina yupo Girona kwa mkopo kutoka New York city.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live