Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Try Again amehujumu Simba? Amepiga fedha za timu? Mwijaku awaka vibaya...

Video Archive
Fri, 14 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji na chawa maarufu Bongo, Mwijaku ametema nyongo kuhusu mashabiki wanaomsema vibaya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Try Again kwa kuwataka wanaofanya hivyo waache kwani wakiendelea atawashughulikia.

Mtangazaji na chawa maarufu Bongo, Mwijaku ametema nyongo kuhusu mashabiki wanaomsema vibaya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Try Again kwa kuwataka wanaofanya hivyo waache kwani wakiendelea atawashughulikia. Amesema, mashabiki waache kumsema vibaya pia mwekezaji Mohamed Dewji 'Mo' kwani ameweka fedha na sio rahisi tu kusema mashabiki wanaweza utoa fedha za kuendesha timu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live