Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Tazama tizi la makipa huko Uturuki ni noma!

MAKIPA WA SIMBA TIZI VIDEO: Tazama tizi la makipa huko Uturuki ni noma!

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: Azam TV

Makipa wa Simba SC, Ally Salim na Ahmed Feruz wapo kwenye tizi la kufa mtu huko Uturuki ambako Wwekundu hao wa Msimbazi wameweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi 2023-24.

Makipa hao wananoliwa na mwalimu mpya wa makipa Daniel Cadena ambaye Simba wamemtambulisha wiki iliyopita.

Chanzo: Azam TV