Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwekezaji wenye tija

Uwekezaji Tija.jpeg Eloim Kabore Moise

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani anaitwa Eloim Kabore Moise mshambuliaji wa timu ya Asec Mimosa jezi namba 36.

Amezaliwa 2006 ana miaka 16 na miezi 10.Ndiye mchezaji mdogo zaidi katika historia ya klabu ya Asec kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na miaka 16.

Juzi alicheza dakika 75 dhidi ya Simba SC na kutoka kumpisha Sankara Karamoko.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live