Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uwanja wa Jamhuri Morogoro wafungwa, Simba yarejea Azam Complex

Simba Rekodi CAF.jpeg Uwanja wa Jamhuri Morogoro wafungwa, Simba yarejea Azam Complex

Sat, 9 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bodi ya Ligi imethibitisha kuwa klabu ya Simba SC Tanzania itautumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam katika mechi zake zote za nyumbani zilizo salia baada ya Uga wa Jamhuri, Morogoro kufungiwa kutokana na kutokidhi vigezo vya NBCPL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live