Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utawala wa Liverpool na Man City umefika mwisho - Ten Hag

Ten Hag Majeruhi.png Utawala wa Liverpool na Man City umefika mwisho - Ten Hag

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwenye mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari baada ya kujiunga rasmi na klabu ya Manchester United,

Kocha wa timu hiyo Erik Ten Hag alinukuliwa akisema; "Ninawaheshimu wote Liverpool na Manchester city wanacheza vizuri, Lakini zama zao za kutawala soka la uingereza zimefika tamati,

"Unahisi kwa mwenendo wa klabu yake itafika siku Ten Hag atatawala soka la uingereza?"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live