Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utata Mwigulu kutembelea Kambi ya Ihefu kabla ya kuumana na Yanga, alifata nini?

Mwigulu Ihefyu.jpeg Utata Mwigulu kutembelea Kambi ya Ihefu kabla ya kuumana na Yanga, alifata nini?

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwigulu Nchemba Mjumbe Bodi ya Wadhamini Yanga SC ametembelea kambi ya IHEFU kutia hamasa siku chache kabla IHEFU na Yanga hawajacheza.

Kitendo hicho kimeibua mjadala mkubwa kwa wadau wa soka wakihoji inakuaje kwa Mwanachama na mdhamini wa Yanga anatembelea kambi ya wapinzani wa Yanga kutia hamasa.

Sasa Jopo la Wachambuzi kutoka E-fm kupitia kipindi cha Sports Headquartes wamejadili suala hilo kiundani.

Sikiliza Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea ???? (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live