Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utamu Ligi ya Mabingwa Ulaya kuendelea leo

WhatsApp Image 2023 11 27 At 4.jpeg Utamu Ligi ya Mabingwa Ulaya kuendelea leo

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchakamchaka unaendelea ligi ya Mabingwa ulaya mechi nane katika viwanja tofauti tofauti zikisaka tiketi hatua ya 16 bora.

Ratiba ya michezo ya leo ni kama ifuatayo;



Matokeo ya mechi za jana Ligi ya Mabingwa Ulaya;

Shakhtar Donetsk 1-0 Royal Antwerp

Barcelona 2-1 Porto

Manchester City 3-2 RB Leipzig

Young Boys 2-0 Crvena Zvezda

AC Milan 1-3 B. Dortmund

PSG 1-1 Newcastle

Lazio 2-0 Celtic

Feyenoord 1-3 Atletico

Chanzo: www.tanzaniaweb.live