Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utafiti: Marefa wafupi waongoza kwa kutoa kadi Uwanjani

Yellow Utafiti: Marefa wafupi waongoza kwa kutoa kadi Uwanjani

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Utafiti ulioongozwa na Dk Nick Neave kutoka Chuo Kikuu cha Northumbria cha nchini Uingereza, umebaini kuwa marefa/waamuzi wa kiume wafupi ndio wanaoongoza kwa kutoa kadi uwanjani.

Wanasayansi hao walichambua data za waamuzi wa kiume 61 kutoka Ligi kuu ya Uingereza na League 1 ya Ufaransa na wakafikia hitimisho kwamba waamuzi wenye kimo kifupi wanaongoza kwa kutoa kadi za njano ukilinganisha wale warefu.

Wakati kwenye kwenye Ligi za madaraja ya chini marefa hao wafupi wanaongoza kwa kutoa kadi nyekundu na penati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live