Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usipokuja Uwanjani siti yako inabaki wazi

Mwanafalsafaaaaaaa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma amesema kuwa kwenye ukarabati unaoendelea katika Dimba la Benjamin Mkapa wataweka utaratibu mzuri ambapo hata kwenye kiti ambacho mtu alishalipia tiketi yake ila hajafika basi hicho kiti hakitakaliwa na mtu mwingine

Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe.Hamis Mwinjuma amesema kuwa kwenye ukarabati unaoendelea katika Dimba la Benjamin Mkapa wataweka utaratibu mzuri ambapo hata kwenye kiti ambacho mtu alishalipia tiketi yake ila hajafika basi hicho kiti hakitakaliwa na mtu mwingine "Hata hizi seat ambazo sasa hivi tunakwenda kutengeneza na zitabadilishwa zote uwanja mzima seat elfu 60 na ushee, zitakuwa na namba na utaratibu wa kukaa, tiketi inaandikwa namba na seat ina namba, wewe ukikata tiketi na haujaja uwanjani hakuna mtu anatakiwa kukaa kwenye kiti/seat yako" amesema Naibu Waziri Hamis Mwinjuma

Chanzo: www.tanzaniaweb.live