Tue, 12 Sep 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Nigeria ndio nchi yenye washambuliaji bora hadi hivi sasa kuelekea fainali za maitaifa ya Afrika (AFCON 2024) zitakazofanyika nchini Ivory Coast.
Nigeria imejaaliwa utajiri wa washambuliaji hadi hivi sasa vijana wao wanaendeleza Ubabe kwenye Ligi zao.
Victor Osimhen (Napoli) - Mechi 3 - Goli 3
Taiwo Awoniyi (Nottinghan) - Mechi 3 - Magoli 3
Victor Boniface (BayerLeverkusen) -Mechi 4 - Goals 5
Gift Emmanuel Orban (KAA Gent) - Mechi 9 - Goals 6
Je, Nigeria kwa safu hii tuwategemee kufanya vizuri?
Chanzo: www.tanzaniaweb.live