Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usiku mgumu kwa Man United

Man United Loose Usiku mgumu kwa Man United

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hapana shaka mashabiki wa Manchester United watakuwa kwenye presha kubwa katika mchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi nyumbani leo kwenye Uwanja wa Old Trafford dhidi ya Bayern Munich.

Ni usiku unaoweza kuamua hatima ya miamba hiyo ya England kufuzu au kutofuzu hatua ya 16 ya mashindano hayo au hatua inayofuata ya mashindano ya Europa League ama ikaishia katika hatua ya makundi.

Hesabu za kufuzu hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, zinategemea zaidi bahati ya matokeo ya sare katika mechi baina ya FC Copenhagen na Galatasaray kisha yenyewe iifunge Bayern Munich ili iweze kutinga hatua ya 16 bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: