Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usiku mgumu kwa Gamondi na Benchikha

Gamondi Benchikha Picha.png Benchikha na Gamondi

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuamkia siku ya kazi, makocha wawili wenye uzoefu mkubwa na soka la Afrika watakuwa kazini kuziongoza timu kubwa na kongwe za Tanzania dhidi ya wababe wa Kaskazini na Kusini mwa Afrika, wababe wa Soka la Afrika.

Gamondi na Yanga take watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Rhulani Mokwena na Mamelodi yake. Benchikha na Simba yake watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Marcel Koller na Al Ahly yake, hapo ni kivumbi leo.

Masandawana ambao ni mabingwa watetezi wa AFL wanasema wanataka kubeba kila kitu msinu huu, Ahly wao wamebeba CAFCL mara 11, wanasema ubinhwa wa Afrika kwao ni kama kunywa maji tu. Benchika na Gamondi watauweza kuutegua mtego huo?

Nani ataandika rekodi akitokea Tanzania?

Ni kazi ngumu sana kwa Benchika na Gamondi lakini usiku huu mgumu unaweza kulainika kutokana na kila mmoja KAZICHANGA VIPI KARATA ZAKE....hasa baada ya kusoma uimara na upungufu wa mpinzani katika mechi za Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live