Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usiemtaka kaja, kwa Liverpool hii! mjipange

Thiago Alcantara Return Kiungo wa kati wa Liverpool Thiago Alcantara

Fri, 2 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Liverpool Thiago Alcantara amerejea kwenye mazoezi kamili ya Timu baada ya kukosekana kwa muda mrefu akiuguza majeraha.

Kiungo wa Liverpool Thiago Alcantara amerejea kwenye mazoezi kamili ya Timu baada ya kukosekana kwa muda mrefu akiuguza majeraha. Amerudi wakati muhimu, klabu ipo kwenye mbio za ubingwa, wapo fainali ya Carabao Cup naweza sema huu ni kama usajili mpya kwa Liverpool.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live