Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usajili wa Sancho, Man United walikula au waliliwa?

Jadon Sacho Dortmund Jadon Sancho

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United ilimsajili Jadon Sancho kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 73 kutoka Dortmund ikimlipa mshahara wa pauni 350,000 kwa wiki.

Sancho (23) ameifungia Man United magoli 12 na pasi saidizi (assist) 6 kabla ya kuhitilafiana na mwalimu Eric Ten Hag na kuondoshwa nje ya kikosi cha kwanza.

Miezi 30 baadaye Sancho raia wa England anarejea Dortmund kwa mkopo usio na chaguo la kusajiliwa jumla.

Unaupa asilimia ngapi usajili wa Sancho kwenda Man United?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live