Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usajili wa Banda kwenda KMC wagonga mwamba

Petera Banda Singida FG Usajili wa Banda kwenda KMC wagonga mwamba

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ihefu SC imeshindwa dakika za mwisho za dirisha dogo la usajili kumtoa kwa mkopo kwenda KMC FC, Winga wao Peter Banda, baada ya kutoelewana baadhi ya mambo/masawaliano hafifu ikiwemo na sababu za mchezaji kuchelewa kusaini mkataba wake na Ihefu SC.

Ihefu SC imeshindwa dakika za mwisho za dirisha dogo la usajili kumtoa kwa mkopo kwenda KMC FC, Winga wao Peter Banda, baada ya kutoelewana baadhi ya mambo/masawaliano hafifu ikiwemo na sababu za mchezaji kuchelewa kusaini mkataba wake na Ihefu SC. Inatajwa mpaka Juzi Peter Banda alikuwa bado hajasaini mkataba na Ihefu SC, na alikuwa bado hajawasili nchini kabla ya kusaini jioni na taratibu za kumtoa kwa mkopo kuanzia hapo zikaanza na kukuta KMC FC imeshakamilisha nafasi za usajili wake pamoja na kutokukubaliana baadhi ya mambo kama makazi pamoja na vitu vingine ambayo Ihefu SC ilihitaji KMC iwajibike.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live