Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usajili dirisha dogo ulivyofungwa kibabe

Okrah Jobe Usajili dirisha dogo ulivyofungwa kibabe

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dirisha la usajili Ligi Kuu Bara limefungwa rasmi juzi kwa klabu kuvuta silaha mpya zitakazoongeza nguvu huku zikitoa pia kwaheri kwa nyota wengine.

Mwanaspoti linakuletea sajili zote za nyota wapya zilizokamilika na kutangazwa katika dirisha hili dogo lililofunguliwa tangu Desemba 16, mwaka jana huku mastaa kadhaa wakionekana kukamilisha dili zao dakika za mwisho.

AZAM FC WALIOINGIA

Franklin Navarro               (Cortulua FC),

Mohamed Mustafa         (Al-Merrikh),

Yeison Fuentes                 (Leones FC).

WALIOTOKA

Idris Mbombo   (Nkana FC).

YANGA WALIOINGIA

Shekhan Ibrahim Khamis              (JKU),

Augustine Okrah              (Bechem Utd),

Joseph Guede Gnadou (Tuzlaspor FC).

WALIOTOKA

Crispin Ngushi   (Coastal Union),

Hafiz Konkoni                    (Dogan Turk Birligi),

Jesus Moloko    (haijafahamika).

 

SIMBA  WALIOINGIA

Saleh Karabaka (JKU),

Babacar Sarr       (Huru),

Ladaki Chasambi               (Mtibwa Sugar),

Pa Omar Jobe    (Zhenis),

Freddy Michael Kouablan(Green Eagles).

WALIOTOKA

Nassoro Kapama              (Mtibwa Sugar),

Jimmyson Mwanuke      (Mtibwa Sugar), Shaaban Idd Chilunda   (KMC),

Hamis Abdallah                 (haijafahamika),

Ahmed Feruz     (haijafahamika),

Mohamed Mussa            (haijafahamika),

Moses Phiri        (haijafahamika),

Jean Baleke        (haijafahamika).

COASTAL UNION WALIOINGIA

Salum Aiyee       (Mbuni),

Crispin Ngushi   (Yanga).

WALIOTOKA

Justin Ndikumana            (Mtibwa Sugar),

Juma Mahadhi (haijafahamika),

Fran Golubic                 (Nestos Chrysoupolis),

Balama Mapinduzi           (Mashujaa),

Yakubu Abdullah              (haijafahamika),

Daud Mbweni   (haijafahamika),

Abdulswamad Kassim    (haijafahamika),

Konare Malienne             (haijafahamika),

Henock Mayala                 (haijafahamika).

DODOMA JIJI WALIOINGIA

Robinson Kamura         (Kakamega Homeboyz), Apollo Otieno      (KCB),

Anuary Jabir                       (Kagera Sugar).

WALIOTOKA

(haijawekwa wazi).

TABORA UNITED WALIOINGIA

(Haijawekwa wazi).

WALIOTOKA

Paulin Kasindi    (haijafahamika),

Touya Jean Didie              (haijafahamika),

Mutuale Nyongani          (haijafahamika),

Morice Reuben Mahela                (haijafahamika),

Moses Msukanywele     (haijafahamika).

NAMUNGO FC  WALIOINGIA

Meddie Kagere (Singida FG,

Ayoub Semtawa               (Huru).

WALIOTOKA

Reliants Lusajo (Mashujaa),

Shiza Kichuya     (JKT TZ).

SINGIDA FOUNTAIN GATEWALIOINGIA

(haijawekwa wazi).

WALIOTOKA

Aboubakar Khomeiny    (Ihefu)

Kelvin Nashon   (Ihefu),

Meddie Kagere                 (Namungo).

TANZANIA PRISONS WALIOINGIA

George Sangija (Geita Gold)

Tariq Simba         (Geita Gold),

Abdulkarim Segeja          (Copco FC),

Jacob Benedicto               (Mbeya Kwanza),

Feisal Mfuko      (Majimaji),

Ally Msengi         (Moroka Swallows).

WALIOTOKA

Yusuph Mlipili    (haijafahamika),

Omary Abdallah Omary                 (Mashujaa).

IHEFU WALIOINGIA

Aboubakar Khomeiny    (Singida FG)

Kelvin Nashon   (Singida FG),

Manu Labota Bola            (FC Lupopo),

Amade Momade ‘Amadou’ (UD Songo).

WALIOTOKA

Charles Ilanfya  (Mtibwa Sugar),

Shaban Msala    (Mtibwa Sugar),

Nassor Saadun  (Geita Gold),

Juma Nyosso     (Geita Gold),

Never Tigere      (haijafahamika).

KMC WALIOINGIA

Abdallah Said Ali ‘Lanso’                (Mlandege),

Akram Omar Muhina      (KVZ),

Shaaban Idd Chilunda    (Simba),

Peter Banda       (Nyassa Big Bullets). 

WALIOTOKA

Cliff Buyoya        (Pamba),

Andrew Simchimba         (Pamba)

JKT TANZANIA WALIOINGIA

Yacoub Suleiman Ali        (JKU),

Gamba Idd Matiko          (JKU),

Shiza Kichuya     (Namungo FC).

WALIOTOKA

John Mwanda   (Pamba FC).

GEITA GOLD WALIOINGIA

Ramadhan Kapera           (Mbeya Kwanza),

Nassor Saadun (Ihefu),

Juma Nyosso     (Ihefu),

Erick Mwijage    (West Armenia).

WALIOTOKA

George Sangija (TZ Prisons),

Tariq Simba         (TZ Prisons),

Carlos Protas      (Biashara United), Abeid Athuman          (Biashara United),

Erick Johora        (Mashujaa).

MTIBWA SUGAR WALIOINGIA

Justin Ndikumana            (Coastal Union),

Charles Ilanfya  (Ihefu),

Shaban Msala    (Ihefu),

Nassoro Kapama              (Ihefu),

Jimmyson Mwanuke      (Simba),

Laurent Alfred   (Kagera Sugar).

WALIOTOKA

Ladaki Chasambi               (Simba).

MASHUJAA FC WALIOINGIA

Nyenyezi Juma (Inter Star),

Emmanuel Mtumbuka   (Stand United),

Balama Mapinduzi           (Coastal Union),

Abrahaman Mussa          (Ruvu Shooting),

Reliants Lusajo (Namungo),

Ibrahim Ame      (Huru),

David Richard Uromi       (Moroka Swallows),

Omary Abdallah Omary                 (TZ Prisons),

Erick Johora        (Geita Gold).

WALIOTOKA

Mohamed Hamis ‘Demba’ (Mbeya City).

KAGERA SUGAR

WALIOINGIA

(haijawekwa wazi).

WALIOTOKA

Laurent Alfred   (Mtibwa Sugar),

Anuary Jabir       (Dodoma Jiji).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live