Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Urusi na Vilabu vyake Marufuku Michuano ya UEFA

Uefa Headquarters 4974348?fit=700%2C394&ssl=1 Shirikisho la Soka Barani Ulaya, UEFA

Wed, 4 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA imevifungiwa vilabu vyote vya kutoka Urusi kushiriki michuano ya ulaya na mashindano mengine yote ya ulaya yanaondaliwa na shirikisho hilo

“Urusi hawataingizia klabu yoyote kushiriki kwenye mashindano yanayondaliwa na UEFA kwenye msimu wa 2022-23,” waraka ulisema.

Vilabu vya Urusi na timu za taifa zilizuiwa kushiriki mashindano yote yanaondaliwa na shirikisho la soka barani ulaya UEFA mpaka watakpo toa taarifa, mwezi February baada ya kuivamia nchi ya Ukraine.

Timu ya taifa ya wanawake ya Urusi imeondolewa kwenye mashindano ya Ulaya ya wanawake ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini Uingereza, na nafasi yake imepewa timu ya taifa ya Ureno.

Ureno ambao walishindwa kufuzu kwenye micbuano ya Ulaya sasa wa wamepangwa kwenye Kundi C ambapo yupo pamoja na timu, Netherlands, Sweden na Switzerland

Chanzo: www.tanzaniaweb.live