Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ureno kucheza mechi za mtoano ili kufuzu World Cup

Skysports Portugal Serbia  696x392 Serbia yafuzu Kombe la Dunia 2022

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya Ureno ilishindwa kujihakikishia nafasi kwenda nchini Qatar kwaajili ya michuano ya kombe la Dunia 2022 baada ya kukubali kipigo cha 2-1 kutoka kwa Serbia katika uwanja wa Estadio da Luz.

Hivyo Ureno italazimika kujaribu bahati yao kupitia michezo ya mtoano, baada mchezo Ureno walikosolewa wote wachezaji na kocha kwa kiwango chao duni.

Kichwa cha habari cha gazeti kilisomeka ‘Aibu ya Dunia‘, huku O Jogo kikizungumzia ‘kupatwa kwa jua kabisa’.

Santos alichukua jukumu la matokeo ya mwisho, huku maoni yake pia yakionyeshwa kwenye kurasa nyingi za magazeti.

“DNA yetu ni kucheza na miguu yetu, lakini tulikuwa na matatizo. Ni kweli kwamba timu haina kujitolea,” alisema kwenye RTP.

“Bernardo Silva alitaka mpira, lakini alikuwa peke yake. Tulicheza kwa hofu na wasiwasi kidogo. Jukumu ni langu.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live