Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Update: Women AFCON Qualifiers 2022, Namibia 3 - Tanzania 1

FCYwbLoWYAIdMHz Mchezo kati ya Namibia dhidi ya Tanzania

Sat, 23 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Wanawake "Twiga Stars" iko nyuma kwa magoli 3-1 dhidi ya Nambibia katika mchezo wa kufuzu kwa Michuano ya AFCON kwa Wanawake.

Goli la Stars limefungwa na Mwanahamisi huku yale ya Namibia yakiwekwa wavuni na Coleman.

Mchezo huo wa marudiano unapigwa katika dimba la Dobsonville, Soweto, Afrika ya Kusini.

Mpaka sasa mchezo huo ni mapumziko, pengine tuone mwalimu atakuja na marekebisho gani kipindi cha pili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live