Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Upasuaji wamaliza msimu kwa Enzo Fernandez

Enzo X Poch Kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez

Thu, 25 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Chelsea Enzo Fernandez anatajiwa kufanyiwa upasuaji wa HERNIA siku zijazo na ataukosa msimu uliosalia.

Kiungo wa Chelsea Enzo Fernandez anatajiwa kufanyiwa upasuaji wa HERNIA siku zijazo na ataukosa msimu uliosalia. Atakuwa nje kwa mwezi mmoja, akilenga kupona kwa wakati ili kusafiri na Timu ya Taifa ya Argentina kwenye Copa America.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live