Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

United inahitaji zaidi ya Kane Rice

Kane And Rice United inahitaji zaidi ya Kane Rice

Wed, 7 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa Andy Cole, mchezaji wa zamani waq Manchester United anasema kuwa kwa sasa Timu hiyo inahitaji juhudi kubwa kurudi katika makali yake.

Kama Manchester United inataka kumnunua Harry Kane na Declan Rice bado hawataweza kushinda EPL kwa sababu gap dhidi ya Man City bado ni kubwa.

Wachezaji wawili wanaweza kuboresha timu lakini siyo kumpita wala kushindana na Man City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live