Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Unataka Straika? Kagere yupo huru

Meddie Kagere Rec Meddie Kagere

Mon, 10 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Simba Sc, Maddie Kagere amemaliza mkataba na wake na Singida Fountain Gate na sasa nyota huyo raia wa Rwanda yupo huru kuitumikia klabu yoyote ndani na nje ya Tanzania.

Mshambuliaji wa zamani wa Simba Sc, Maddie Kagere amemaliza mkataba na wake na Singida Fountain Gate na sasa nyota huyo raia wa Rwanda yupo huru kuitumikia klabu yoyote ndani na nje ya Tanzania. Kagere (37) ambaye alikuwa akiitumikia Namungo FC kwa mkopo akitokea Singida FG bado yupo nchini Tanzania akisubiria muafaka wa kesi kati yake na Singida Fountain Gate inayohusu malimbikizo ya mshahara na kiasi cha fedha ya usajili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live