Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Unaijua stori ya Victor Boniphace?

Victor Boniphace Liverkusen Unaijua stori ya Victor Boniphace?

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pichani ni Mshambuliaji wa Klabu ya Bayern Leverkusen ya Ujeumani, Victor Boniface alipokuwa na ndoto za kuwa mchezaji mkubwa na nyingine akiwa mchezaji mkubwa tayari.

Picha hii inaelezea kila hadithi inayohitaji kusimuliwa. Picha hii inazungumza mengi ikiwemo Subira, Nidhamu na kutokukata tamaa haijalishi unapitia hali gani

Juzi Jumapili Victor Boniphace alinyakua Ubingwa wa Bundasliga chini ya Xabi Alonso.

Ladies and Gentlemen, kila kitu kina wakati wake, NEVER GIVE UP kwenye kitu unachokifanya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live