Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Unaambiwa Lubumbashi kuna Mika Miche, mwamba haswa!

Adfs Mika Miche Unaambiwa Lubumbashi kuna Mika Miche, mwamba haswa!

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukitaja jina la Mika Miche kwa kila Mchezaji wa kikongomani atakwambia kuhusu sifa zake, Nyota wa Zamani wa TP Mazembe ambako alitamba zaidi, Baadae akajiunga na Lupopo. Kwanini?

Baada ya kumaliza mkataba na Mazembe, Lupopo walikuja na Ofa Bora zaidi, Kumbuka Lupopo ipo Chini ya Havana wa Katanga Kwa Sasa Jacques Kyabula ambaye anamwaga Pesa.

Mbaya zaidi Ligi ya DR Congo inapitia Changamoto muda wa kucheza mdogo, Hata klabu zao hazijafanya vema huko CAF licha ya kua na klabu nne.

Lupopo walikua na miaka 16 bila makundi ya CAF ujio wa nyota wapya akiwemo Mika + Makusu wakarejea Shirikisho Makundi, Mission Accomplished.

Mika ni kiungo wa Ulinzi na Ushambuliaji [Box to Box] Ambaye ana uwezo mkubwa katikati ya kiwanja, I wish to see this Dancer in Tanzania.

Trust me atakayekamilisha Deal hii ataramba Dume.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live